2 Mambo Ya Nyakati 24:25 BHN

25 Maadui walipoondoka, walimwacha akiwa amejeruhiwa vibaya sana, maofisa wake wakala njama wakamwulia kitandani mwake, kulipiza kisasi mauaji ya mwana wa kuhani Yehoyada. Alizikwa katika mji wa Daudi, lakini si kwenye makaburi ya wafalme.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 24

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 24:25 katika mazingira