1 Amazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, akatawala kwa muda wa miaka ishirini na mitano katika Yerusalemu. Mama yake aliitwa Yehoadani wa Yerusalemu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:1 katika mazingira