21 Kwa hiyo, Yehoashi, mfalme wa Israeli alitoka akakabiliana uso kwa uso na Amazia, mfalme wa Yuda, huko vitani Beth-shemeshi, nchini Yuda.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:21 katika mazingira