10 Hata nyikani pia alijenga minara, akachimba mabwawa mengi, maana alikuwa na mifugo mingi kwenye sehemu za miinuko na tambarare. Alikuwa na wakulima wa watunza mizabibu milimani, na katika ardhi yenye rutuba kwani alipenda kilimo.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 26
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 26:10 katika mazingira