2 Mambo Ya Nyakati 26:21 BHN

21 Basi, mfalme Uzia akawa na ukoma mpaka siku ya kufa kwake. Alikaa katika nyumba yake ya pekee kwani hakukubaliwa tena kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Naye Yothamu mtoto wake, akatunza jamaa yake huku akitawala wakazi wa nchi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 26

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 26:21 katika mazingira