2 Mambo Ya Nyakati 26:5 BHN

5 Alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa uaminifu wakati wa kuishi kwa Zekaria, aliyemfundisha kumtii Mungu. Kadiri alivyomtafuta Mungu, Mungu alimfanikisha.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 26

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 26:5 katika mazingira