2 Mambo Ya Nyakati 27:5 BHN

5 Alipigana vita dhidi ya mfalme wa Amoni na kuwashinda. Katika mwaka huo Waamoni walimtolea ushuru wa kilo 3,400, tani 1,000 za ngano na kilo 1,000 za shayiri; waliendelea kufanya hivyo katika mwaka wa pili na wa tatu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 27

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 27:5 katika mazingira