2 Mambo Ya Nyakati 27:8 BHN

8 Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, akatawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 27

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 27:8 katika mazingira