10 Sasa mnanuia kuwafanya wanaume na wanawake wa Yuda na Yerusalemu watumwa wenu. Je, hamtambui ya kuwa nyinyi pia mmetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu?
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 28
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 28:10 katika mazingira