2 Mambo Ya Nyakati 28:15 BHN

15 Wale wakuu waliotajwa majina yao waliwachukua mateka na kwa kutumia nyara wakawavika mateka ambao hawakuwa na nguo; waliwapatia ndara, chakula na vinywaji, na kuwapaka mafuta. Wale ambao walikuwa hawajiwezi, wakawabeba kwa punda, wakawachukua mateka wote hadi Yeriko, mji wa mitende, kwa ndugu zao; kisha wao wakarudi Samaria.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 28

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 28:15 katika mazingira