2 Mambo Ya Nyakati 28:17 BHN

17 kwa sababu Waedomu walikuwa wamekuja tena, wakaivamia nchi ya Yuda, wakawashinda na kuchukua mateka wengi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 28

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 28:17 katika mazingira