2 Mambo Ya Nyakati 28:3 BHN

3 akafukiza ubani kwenye Bonde la mwana wa Hinomu na kuwateketeza wanawe kama tambiko, akiiga desturi za kuchukiza za watu ambao walifukuzwa na Mwenyezi-Mungu wakati Waisraeli walipokuwa wanaingia nchini.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 28

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 28:3 katika mazingira