2 Mambo Ya Nyakati 28:6 BHN

6 Aliua askari mashujaa wa Yuda 120,000 katika siku moja. Ilitokea hivyo kwa sababu walimwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 28

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 28:6 katika mazingira