2 Mambo Ya Nyakati 3:13 BHN

13 Urefu wa mabawa mawili ya viumbe hawa ni mita 4.5. Yalisimama sambamba, nyuso za viumbe wenye mabawa zikielekea ukumbini.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 3

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 3:13 katika mazingira