2 Mambo Ya Nyakati 31:13 BHN

13 Nao Yehieli, Azazia, Nahathi, Asaheli, Yeremothi, Yozabadi, Elieli, Ismakia, Mahathi na Benaya, waliwekwa wawe wasimamizi chini ya uongozi wa Konania na Shimei nduguye. Hawa wote walichaguliwa na mfalme Hezekia na Azaria, ofisa mkuu wa nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 31

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 31:13 katika mazingira