2 Mambo Ya Nyakati 31:6 BHN

6 Watu wa Israeli na Yuda walioishi katika miji ya Yuda, pia wakaleta zaka zao za ng'ombe na kondoo na vitu vingine, wakaviweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Waliviweka vitu hivyo katika mafungu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 31

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 31:6 katika mazingira