2 Mambo Ya Nyakati 34:25 BHN

25 Kwa sababu wameniacha mimi na kufukizia miungu mingine ubani ili wanikasirishe sana kwa kazi zote za mikono yao, basi ghadhabu yangu itamwagika juu ya mahali hapa wala haitatulizwa.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 34

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 34:25 katika mazingira