2 Mambo Ya Nyakati 34:27 BHN

27 Kwa kuwa umetubu na kunyenyekea mbele yangu, hata umerarua mavazi yako na kulia uliposikia maneno yangu dhidi ya mahali hapa, na dhidi ya wakazi wake, na umejinyenyekesha mbele yangu, nami pia nimekusikia.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 34

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 34:27 katika mazingira