32 Tena aliwafanya wote waliokuwa katika Yerusalemu na katika Benyamini kuzingatia agano. Nao wakazi wa Yerusalemu waliishi kwa kufuata agano la Mungu, Mungu wa babu zao.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 34
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 34:32 katika mazingira