2 Mambo Ya Nyakati 34:7 BHN

7 Alizibomoa madhabahu na kupondaponda Maashera na sanamu za kuchongwa zikawa mavumbi. Kadhalika alizikatakata madhabahu za kufukizia ubani katika nchi yote ya Israeli. Hatimaye alirudi Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 34

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 34:7 katika mazingira