2 Mambo Ya Nyakati 35:18 BHN

18 Pasaka kama hiyo ilikuwa haijasherehekewa katika Israeli yote tangu siku za nabii Samueli. Hapajatokea mfalme hata mmoja wa Israeli aliyeadhimisha Pasaka kama hii iliyoadhimishwa na mfalme Yosia pamoja na makuhani, Walawi na watu wote wa Yuda, watu wa Israeli na wakazi wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 35

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 35:18 katika mazingira