2 Mambo Ya Nyakati 35:20 BHN

20 Baada ya haya yote aliyofanya mfalme Yosia kwa ajili ya hekalu, Neko, mfalme wa Misri, aliongoza jeshi lake kwenda kushambulia Karkemishi kwenye mto Eufrate. Naye mfalme Yosia alitoka kumkabili,

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 35

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 35:20 katika mazingira