2 Mambo Ya Nyakati 35:22 BHN

22 Lakini Yosia hakukubali kumwachia. Alikataa kuyasikiliza maneno aliyonena Mungu kwa njia ya Neko, kwa hiyo akajibadilisha ili asitambulike, kisha akaingia vitani katika tambarare ya Megido.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 35

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 35:22 katika mazingira