2 Mambo Ya Nyakati 35:7 BHN

7 Kisha Yosia aliwapa watu, wanambuzi wapatao 30,000, na mafahali 3,000, wote hawa walitolewa kwenye mifugo ya mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 35

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 35:7 katika mazingira