2 Mambo Ya Nyakati 36:23 BHN

23 “Hivi ndivyo anavyosema Koreshi mfalme wa Persia: Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbingu, amenipatia falme zote za ulimwenguni, na ameniagiza nimjengee nyumba katika Yerusalemu, nchini Yuda. Basi, sasa kila mtu katika nyinyi nyote mlio watu wake Mwenyezi-Mungu, Mungu wake na awe pamoja naye, na aende.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 36

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 36:23 katika mazingira