2 Mambo Ya Nyakati 36:3 BHN

3 Baadaye mfalme wa Misri alimwondoa huko Yerusalemu na akaitoza nchi kodi ya kilo 3,400 za fedha na kilo 34 za dhahabu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 36

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 36:3 katika mazingira