2 Mambo Ya Nyakati 36:5 BHN

5 Yehoyakimu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, akatawala kwa muda wa miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu. Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 36

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 36:5 katika mazingira