2 Mambo Ya Nyakati 4:11 BHN

11 Huramu alitengeneza vyungu, sepetu na mabirika. Basi Huramu akamaliza kazi aliyomfanyia mfalme Solomoni kuhusu nyumba ya Mungu:

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 4:11 katika mazingira