2 Mambo Ya Nyakati 4:17 BHN

17 Vitu hivyo vyote mfalme alivitengeneza katika uwanda wa Yordani, sehemu ya udongo wa mfinyanzi iliyokuwa kati ya Sukothi na Sereda.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 4:17 katika mazingira