2 Mambo Ya Nyakati 4:2 BHN

2 Kisha, alitengeneza tangi la maji la mviringo, lenye upana wa mita 4.5 kutoka ukingo hadi ukingo, kina cha mita 2.25, na mzingo wa mita 13.5.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 4:2 katika mazingira