7 Alitengeneza vinara kumi vya dhahabu kama ilivyoagizwa, akaviweka ukumbini mwa hekalu; vitano upande wa kusini, na vitano upande wa kaskazini.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 4
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 4:7 katika mazingira