10 “Na sasa Mwenyezi-Mungu ametimiza ahadi yake, kwani nimekuwa mfalme mahali pa baba yangu Daudi, na kukikalia kiti cha enzi cha Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyoahidi; pia nimejenga nyumba ya kumwabudia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 6
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 6:10 katika mazingira