2 Mambo Ya Nyakati 6:23 BHN

23 wewe usikie kutoka huko mbinguni, uchukue hatua na kuwahukumu watumishi wako. Aliye na hatia umwadhibu kadiri ya makosa yake; asiye na hatia umwachilie na kumpatia tuzo kadiri ya uadilifu wake.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 6:23 katika mazingira