2 Mambo Ya Nyakati 6:28 BHN

28 “Iwapo kuna njaa nchini au tauni, ukame, ugonjwa wa mimea, nzige au viwavi, au ikiwa watu wako wamezingirwa na maadui zao katika mji wao wowote ule; ikiwa kuna pigo lolote au ugonjwa wowote,

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 6:28 katika mazingira