2 Mambo Ya Nyakati 6:33 BHN

33 nakusihi umsikie toka huko kwako mbinguni, na umjalie huyo mgeni yote atakayokuomba kusudi watu wote ulimwenguni wapate kujua jina lako na kukutii kama wafanyavyo watu wako Israeli na wapate kufahamu kwamba nyumba hii ambayo nimeijenga inajulikana kwa jina lako.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 6:33 katika mazingira