2 Mambo Ya Nyakati 6:36 BHN

36 “Ikiwa watatenda dhambi dhidi yako, maana hakuna mtu asiyetenda dhambi, na ukiwakasirikia na kuwaacha washindwe na adui, hata wapelekwe mateka mpaka nchi ya mbali au ya karibu;

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 6:36 katika mazingira