2 Mambo Ya Nyakati 6:38 BHN

38 pia kama watatubu kwa moyo wao wote na kwa roho yao yote wakati watakapokuwa katika nchi ya uhamisho, na kama watakuomba wakielekea nchi yao ambayo uliwapatia babu zao, mji huu ambao uliuchagua na nyumba hii ambayo nimeijenga kwa ajili ya jina lako;

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 6:38 katika mazingira