5 ‘Tangu niwaondoe watu wangu kutoka nchi ya Misri, sikuchagua mji wowote katika makabila ya Israeli ili nijengewe nyumba nitakamoabudiwa; na sikumchagua mtu yeyote awe mkuu wa watu wangu Israeli.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 6
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 6:5 katika mazingira