2 Mambo Ya Nyakati 7:10 BHN

10 Siku iliyofuata ambayo ilikuwa siku ya ishirini na tatu ya mwezi wa saba, Solomoni aliwaaga watu waende kwao, wakishangilia na kufurahi moyoni kwa sababu ya wema ambao Mwenyezi-Mungu aliowajalia Daudi, Solomoni na watu wake Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 7

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 7:10 katika mazingira