2 Mambo Ya Nyakati 8:12 BHN

12 Solomoni alimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za kuteketeza juu ya madhabahu aliyokuwa amemjengea Mwenyezi-Mungu mbele ya ukumbi wa hekalu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 8

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 8:12 katika mazingira