2 Mambo Ya Nyakati 8:18 BHN

18 Huramu alimpelekea merikebu zilizokuwa chini ya uongozi wa maofisa wake, pamoja na mabaharia stadi. Hao, pamoja na maofisa wa Solomoni, walisafiri hadi Ofiri, na kuchukua kutoka huko dhahabu, wakamletea mfalme Solomoni kiasi cha kilo 15,000.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 8

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 8:18 katika mazingira