2 Mambo Ya Nyakati 8:6 BHN

6 mji wa Baalathi, na miji yake yote ya ghala, magari yake ya kukokotwa na ya wapandafarasi wake, na chochote alichotaka kujenga katika Yerusalemu, Lebanoni au kwingineko katika ufalme wake.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 8

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 8:6 katika mazingira