2 Mambo Ya Nyakati 9:14 BHN

14 mbali na dhahabu aliyopokea kutoka kwa wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabia na wakuu wa mikoa ya Israeli pia walimletea Solomoni fedha na dhahabu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 9

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 9:14 katika mazingira