16 Pia alitengeneza ngao ndogondogo 300, kila moja ilipakwa dhahabu ipatayo kilo tatu, halafu mfalme akaziweka katika jengo lililoitwa Nyumba ya Msitu wa Lebanoni.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 9
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 9:16 katika mazingira