2 Mambo Ya Nyakati 9:6 BHN

6 Lakini sikuweza kuamini habari zao mpaka nilipofika na kujionea mwenyewe, na kumbe niliambiwa nusu tu; hekima yako na ufanisi wako ni zaidi ya yale niliyosikia.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 9

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 9:6 katika mazingira