2 Mambo Ya Nyakati 9:8 BHN

8 Na asifiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ambaye amependezwa nawe, akakuketisha juu ya kiti chake cha enzi, uwe mfalme kwa niaba yake Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Kwa sababu Mungu wako amewapenda Waisraeli na kuwaimarisha milele, amekuweka wewe uwe mfalme juu yao ili udumishe haki na uadilifu.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 9

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 9:8 katika mazingira