27 Yule mlinzi akasema, “Naona kuwa yule anayekimbia zaidi ni Ahimaasi mwana wa Sadoki.” Mfalme akasema, “Huyo ni mtu mwema, anatuletea habari njema.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 18
Mtazamo 2 Samueli 18:27 katika mazingira