2 Samueli 20:15 BHN

15 Watu wote waliokuwa pamoja na Yoabu wakaenda kumzingira Sheba akiwa katika mji huo wa Abeli wa Beth-maaka. Walirundika kuuzingira mji, na ngome; halafu wakaanza kuubomoa ukuta ili kuuangusha chini.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 20

Mtazamo 2 Samueli 20:15 katika mazingira