Danieli 1:1 BHN

1 Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Yehoyakimu wa Yuda, mfalme Nebukadneza wa Babuloni alikwenda Yerusalemu, akauzingira mji.

Kusoma sura kamili Danieli 1

Mtazamo Danieli 1:1 katika mazingira