Ezekieli 48:35 BHN

35 Jumla ya urefu wa kuta zote nne utakuwa ni mita 9,000. Jina la mji kutokea sasa na kuendelea litakuwa: “Mwenyezi-Mungu Yupo Hapa.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 48

Mtazamo Ezekieli 48:35 katika mazingira